Eleza maana ya misemo ifuatwayo a)giza la ukata..... b)meza mate machungu
3 answers
meza mate machungu ni kupata tabu. giza la ukata ni kuwa maskini bila matumaini.
Kupata tabu
Meza mate Machungu ni kupata taabu Giza la ukata ni hali ya umaskini mkubwa