Ask a New Question
Search
andika sentensi ifuatayo katika ukubwa
andika sentensi ifuatayo katika ukubwa wingi
Miguu yake inauma kwenye mifupa
1 answer
asked by
Mark
25 views
(q) Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa huku ukikanusha
Kijibwa changu ni kikali sana 2. (a) Jaza mapengo:- Kutenda Kutendesha
1 answer
asked by
hamza
23 views
Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa huku ukikanusha
Kijibwa changu ni kikali
1 answer
19 views
1.Anisha mofimu katika maneno yafuatayo
a.Asemavyo b.Mwangwi 2.Onyesha aina za nomino katika sentensi ifuatayo shule nzima
1 answer
92 views
Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi:-
Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka
1 answer
17 views
(n) Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo:
Mizizi ya mibaruti hii iliwaponya watu ambao walikuwa na shida kama hii
1 answer
asked by
hamza
22 views
Bainisha matumizi kiambishi "ji" katika sentensi ifuatayo :-
1.Amejikata 2.Mchezaji huyu ni hodari
1 answer
16 views
Bainisha matumizi viambishi "ku" katika sentensi ifuatayo:-
I)mwanafunzi hukusoma kwa bidii II)Atakupiga
1 answer
18 views
Kanusha sentensi ifuatayo katika umoja:-
Mizizi ya mibaruti hii iliwaponya watu ambao walikuwa na shida kama hii yenu
2 answers
24 views
andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisha sentensi hii kule ndimo alipoingia
1 answer
asked by
hamza
16 views