Ask a New Question
Search
Tunga sentensi mbilli zinazotumia sentensi
Tunga sentensi mbilli zinazotumia sentensi sahihi
25 answers
asked by
Angel
137 views
(n) Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo:
Mizizi ya mibaruti hii iliwaponya watu ambao walikuwa na shida kama hii
1 answer
asked by
hamza
22 views
1.Anisha mofimu katika maneno yafuatayo
a.Asemavyo b.Mwangwi 2.Onyesha aina za nomino katika sentensi ifuatayo shule nzima
1 answer
92 views
tunga sentensi kubainisha maana ya vitate vua na fua
1 answer
asked by
Mark
25 views
tunga sentensi itakayodhihirisha matumizi ya keilezi cha namna mfanano
1 answer
asked by
hamza
16 views
Tunga sentensi ukitumia neno Vile
Kama, Kivumishi Kiwakilishi Kielezo
1 answer
asked by
Dun
11 views
andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisha sentensi hii kule ndimo alipoingia
1 answer
asked by
hamza
16 views
(q) Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa huku ukikanusha
Kijibwa changu ni kikali sana 2. (a) Jaza mapengo:- Kutenda Kutendesha
1 answer
asked by
hamza
23 views
Aina ya sentensi za kiswahili
1 answer
asked by
Dun
21 views
Andika Aina tatu za sentensi
1 answer
asked by
Angel
48 views