Eleza maana ya Vivugo na matambiko

4 answers

Mila kimsingi inamaanisha kama mlolongo wa shughuli unazofanya mara nyingi kwa mahitaji ya kiroho au ya kidini.
Oh ya, so you understand english cuz it would be very helpful or else 99 percent of ppl here will have to put it in a translator?
Matambiko ni mambo yanahohusiana na Mila na tamaduni yanayofanywa na wanajamii yakikusudiwa kuzuia mikosi hasa baada ya kuenda kinyume na miiko ya jamii husika.
Nice