Andika maana ya misemo hii:
a)nyama ya ulimi
b)ulimweka mbele
c)kupiga bongo
d)ndumakuwili
e)kufaana kwa la jua na la mvua.
6 answers
nipee majibu
cijui
Jibu ni lipi
Maana ya misemo ya nyama ya ulimi
Kupiga bongo =kufikiria .
Eleza maana ya misemo Nyama ya ulimi